




Unatafuta nyumba nzuri ya kupanga kwa muda wa miezi kadhaa? Karibu kwenye self contained house yetu iliyopo Lupeta, Mbeya Tanzania. Nyumba hii inafaa kwa mtu mmoja, wanandoa au mfanyakazi anayehitaji sehemu tulivu, salama na yenye faragha kwa makazi ya muda mrefu
You won't be charged yet