
"Chumba Kizuri cha Kupanga (Self-Contained)! Kinapatikana Lupeta eneo tulivu na salama. Chumba ni kikubwa, kikiwa na choo na bafu ndani. Ni chaguo bora kwa wanafunzi au wafanyakazi wanaotafuta makazi yenye faragha na usalama. Maji na umeme ni vya uhakika
You won't be charged yet